Ufafanuzi wa mjuzi katika Kiswahili

mjuzi

nominoPlural wajuzi

  • 1

    mtu mwenye maarifa fulani ya jambo.

    mtambuzi

Matamshi

mjuzi

/mʄuzi/