Ufafanuzi msingi wa mkaa katika Kiswahili

: mkaa1mkaa2mkaa3

mkaa1 , makaa

nomino

  • 1

    kipande cha mti kilichochomwa moto na kuzimwa kabla ya kuwa majivu.

Matamshi

mkaa

/mka:/

Ufafanuzi msingi wa mkaa katika Kiswahili

: mkaa1mkaa2mkaa3

mkaa2

nomino

  • 1

    mti ambao gome lake ni dawa ya kuzuia kuharisha au kukohoa.

Matamshi

mkaa

/mka:/

Ufafanuzi msingi wa mkaa katika Kiswahili

: mkaa1mkaa2mkaa3

mkaa3

nomino

Matamshi

mkaa

/mka:/