Ufafanuzi wa mkaidi katika Kiswahili

mkaidi

nominoPlural wakaidi

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kutosikia au kutokubali maoni ya mtu mwingine kwa kutaka kushindana tu.

    mshindani, mbishi

  • 2

    mtu asiye mtiifu.

    mwasi, kiloo, sugu

Asili

Kar

Matamshi

mkaidi

/mkaIdi/