Ufafanuzi wa mkamadume katika Kiswahili

mkamadume

nomino

  • 1

    cheo cha mtawala wa jadi hapo zamani katika sehemu za Pemba.

    makame

Matamshi

mkamadume

/mkamadumÉ›/