Ufafanuzi wa mkeka katika Kiswahili

mkeka

nominoPlural mikeka

  • 1

    kitu kama jamvi kinachoshonwa kutokana na kili na hutumika kwa kukalia au kutandika kitandani.

Matamshi

mkeka

/mkɛka/