Ufafanuzi wa mkilua katika Kiswahili

mkilua

nomino

  • 1

    mti unaozaa maua ambayo hutumiwa na wanawake kuwa ni manukato.

Matamshi

mkilua

/mkiluwa/