Ufafanuzi wa mkiritimba katika Kiswahili

mkiritimba

nominoPlural wakiritimba

  • 1

    mtu azuiaye watu wengine kufanya biashara au shughuli fulani ila yeye pekee.

    mhodhi

Matamshi

mkiritimba

/mkiritimba/