Ufafanuzi wa mkoa katika Kiswahili

mkoa

nominoPlural mikoa

  • 1

    eneo la utawala lenye wilaya kadhaa; jimbo la utawala.

    ‘Mkuu wa mkoa’
    ‘Mkoa wa Pwani’
    jimbo

Matamshi

mkoa

/mkɔwa/