Ufafanuzi wa mkodi katika Kiswahili

mkodi

nominoPlural wakodi

  • 1

    mtu anayepanga nyumba kwa malipo ya kila muda maalumu; mtu aliyechukua kitu na kukitumia kwa malipo ya muda bila ya kukinunua.

Matamshi

mkodi

/mkɔdi/