Ufafanuzi wa mkoloni katika Kiswahili

mkoloni

nominoPlural wakoloni

  • 1

    mtu anayetawala katika nchi ambayo si yake kwa manufaa ya nchi yake.

  • 2

    mtu ambaye si mwenyeji wa nchi fulani lakini taifa lake au nchi yake inatawala nchi hiyo na akawa na fikira au vitendo vinavyouunga mkono utawala wa kigeni.

    guberi

Asili

Kng

Matamshi

mkoloni

/mkɔlɔni/