Ufafanuzi wa mkomwe katika Kiswahili

mkomwe

nominoPlural myomwe

  • 1

    mmea unaotambaa ambao kokwa zake hutumika kuchezea bao.

Matamshi

mkomwe

/mkɔmwɛ/