Ufafanuzi wa mkosaji katika Kiswahili

mkosaji

nominoPlural wakosaji

  • 1

    mtu aliyetenda makosa.

  • 2

    mtu ambaye siku zote au mara nyingi hapati anachohitaji.

    mkosefu

Matamshi

mkosaji

/mkɔsaʄi/