Ufafanuzi wa mkosi katika Kiswahili

mkosi

nominoPlural mikosi

  • 1

    matokeo mabaya yasiyotarajiwa; bahati mbaya.

    ‘Safari imeingia mkosi’
    ndegembaya, kunusi, balaa, nuksi, nuhusi, kisirani, uchuro, feli

Matamshi

mkosi

/mkɔsi/