Ufafanuzi wa mkukuriko katika Kiswahili

mkukuriko

nomino

  • 1

    nguvu au mabavu katika kutenda jambo.

Matamshi

mkukuriko

/mkukurikÉ”/