Ufafanuzi wa mkulo katika Kiswahili

mkulo

nominoPlural mikulo

  • 1

    kifaa cha kuchujia tui, agh. kilichotengenezwa kwa ndifu au nunu.

    kung’uto, kichujio

Matamshi

mkulo

/mkulɔ/