Ufafanuzi wa mkung’uto katika Kiswahili

mkung’uto

nominoPlural mikung’uto

  • 1

    tendo la kutoa vumbi au maji kutoka kwenye kitu k.v. nguo au zulia kwa kukirusha na kukitikisa; tendo la kukung’uta.

Matamshi

mkung’uto

/mkuŋutɔ/