Ufafanuzi msingi wa mkunga katika Kiswahili

: mkunga1mkunga2

mkunga1

nomino

  • 1

    mtu mwenye ujuzi wa kuzalisha.

Matamshi

mkunga

/mkunga/

Ufafanuzi msingi wa mkunga katika Kiswahili

: mkunga1mkunga2

mkunga2

nomino

  • 1

    samaki mrefu mwenye umbo la nyoka, huwa wa rangi mbalimbali k.v. nyeusi, mabatobato ya chui, kijivu au kahawia.

Matamshi

mkunga

/mkunga/