Ufafanuzi msingi wa mkunguru katika Kiswahili

: mkunguru1mkunguru2

mkunguru1

nominoPlural mkunguru, Plural mikunguru

  • 1

    homa au ugonjwa anaoupata mtu abadilishapo makazi au hali ya hewa.

  • 2

    hofu anayokuwa nayo mtu kwa kuogopa jambo au kitu.

Matamshi

mkunguru

/mkunguru/

Ufafanuzi msingi wa mkunguru katika Kiswahili

: mkunguru1mkunguru2

mkunguru2

nominoPlural mkunguru, Plural mikunguru

Matamshi

mkunguru

/mkunguru/