Ufafanuzi wa mkuyati katika Kiswahili

mkuyati

nominoPlural mikuyati

  • 1

    kitu, agh. kinywaji, kinachosaidia uume kusimika kwa nguvu zaidi.

Matamshi

mkuyati

/mkujati/