Ufafanuzi wa mkwinini katika Kiswahili

mkwinini

nominoPlural mikwinini

  • 1

    mti ambao magome yake hutengenezwa dawa ya kwinini.

Asili

Kng

Matamshi

mkwinini

/mkwinini/