Ufafanuzi wa mlevi katika Kiswahili

mlevi

nominoPlural walevi

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kutumia kitu chochote kinacholevya k.v. pombe, bangi au kasumba mpaka fahamu zake zikabadilika.

  • 2

    mtu aliye katika hali ya kulewa.

Matamshi

mlevi

/mlɛvi/