Ufafanuzi msingi wa mli katika Kiswahili

: mli1mli2

mli1

nominoPlural mili

Kibaharia
 • 1

  Kibaharia
  kamba ya kutwekea na kushushia tanga la chombo k.v. jahazi.

 • 2

  Kibaharia
  kamba inayofungwa kwenye usukani wa chombo k.v. jahazi ili kuelekezea.

Matamshi

mli

/mli/

Ufafanuzi msingi wa mli katika Kiswahili

: mli1mli2

mli2

nominoPlural mili

 • 1

  kipande cha chuma chenye tundu pande zote mbili ambacho hutumiwa kushikizia vikuku vya pingu za wafungwa.

Matamshi

mli

/mli/