Ufafanuzi wa mlimau katika Kiswahili

mlimau

nominoPlural milimau

  • 1

    mti wenye miba na majani madogomadogo ya kijani isiyokoza unaozaa malimau yenye maji ya ugwadu yatumiwayo kama kinywaji au kiungo kwenye nyama au samaki.

Matamshi

mlimau

/mlimau/