Ufafanuzi msingi wa mlimbuko katika Kiswahili

: mlimbuko1mlimbuko2

mlimbuko1

nominoPlural milimbuko

 • 1

  mazao ya kwanza wakati wa kuvuna.

  ‘Mahindi ya mlimbuko’

 • 2

  hali anayokuwa nayo mtu anapopata tunu au kitu kwa mara ya kwanza.

Matamshi

mlimbuko

/mlimbukɔ/

Ufafanuzi msingi wa mlimbuko katika Kiswahili

: mlimbuko1mlimbuko2

mlimbuko2

nominoPlural milimbuko

 • 1

  kitu au zawadi inayotolewa kufidia kusubiri kwa mtu.

 • 2

  mafanikio anayopata mtu baada ya kusubiri.

Matamshi

mlimbuko

/mlimbukɔ/