Ufafanuzi wa mlingoti katika Kiswahili

mlingoti

nominoPlural milingoti

  • 1

    nguzo inayokitwa chomboni au ardhini ili kutwekea tanga au kusimamishia bendera.

  • 2

    nguzo ya goli.

  • 3

    shina la mkonge lenye maua.

Matamshi

mlingoti

/mlingɔti/