Ufafanuzi msingi wa mlio katika Kiswahili

: mlio1mlio2

mlio1

nominoPlural milio

  • 1

    sauti inayotokea wakati vitu vinapogongana, kugusana, kukwaruzana au kufyatuka.

  • 2

    sauti anayotoa kiumbe k.v. mtu au mnyama anapolia.

Matamshi

mlio

/mliɔ/

Ufafanuzi msingi wa mlio katika Kiswahili

: mlio1mlio2

mlio2

nominoPlural milio

  • 1

    kijiti cha kukazia kamba inayofungiwa mzigo k.v. mzigo wa kuni.

Matamshi

mlio

/mlijɔ/