Ufafanuzi wa mlisha katika Kiswahili

mlisha, mlishi

nomino

  • 1

    mtu atoaye chakula kuwapa wengine wakati wa karamu.

    mwandazi, mwalishi

  • 2

    mtu anayewapa wanyama chakula; mtu anayewapeleka wanyama machungani.

    mchungaji