Ufafanuzi wa mlizi katika Kiswahili

mlizi

nominoPlural walizi

  • 1

    mtu, hasa mtoto, mwenye tabia ya kulia kila mara.

  • 2

    mfiwa, agh. mwanamke.

Matamshi

mlizi

/mlizi/