Ufafanuzi wa mlongama katika Kiswahili

mlongama

nomino

  • 1

    aina ya mti ambao magome yake hutumiwa kutengenezea rangi ya manjano.

Matamshi

mlongama

/mlɔngama/