Ufafanuzi wa mmenyuko katika Kiswahili

mmenyuko

nominoPlural mimenyuko

  • 1

    mabadiliko ya kikemikali yanayotokea wakati elementi mbili au zaidi zinapopambanishwa.

Matamshi

mmenyuko

/m mɛɲukɔ/