Ufafanuzi wa mmiliki katika Kiswahili

mmiliki

nominoPlural wamiliki

  • 1

    mtu anayemiliki kitu fulani k.v. nyumba, shamba au mali nyingine.

Asili

Kar

Matamshi

mmiliki

/m miliki/