Ufafanuzi wa mnadi katika Kiswahili

mnadi, mnadishaji

nominoPlural wanadi

  • 1

    mtu anayetangaza bei na kuuza vitu wakati wa mnada; muuzaji vitu kwenye mnada kwa kuvitangaza kwa sauti, kimoja kimoja.

    dalali

  • 2

    mtu anayetangaza jambo fulani kwa sauti.

    mwadhini

Asili

Kar

Matamshi

mnadi

/mnadi/