Ufafanuzi wa mnavu katika Kiswahili

mnavu

nominoPlural minavu

  • 1

    mmea wenye majani mapana yenye nchancha yaliyo machungu na hutumika kuwa ni mboga.

Matamshi

mnavu

/mnavu/