Ufafanuzi wa mngarengare katika Kiswahili

mngarengare

nominoPlural mingarengare

  • 1

    aina ya samaki mrefu mnene na asiyekuwa na mamba makubwa, mwenye rangi nyeusi na nyeupe.

Matamshi

mngarengare

/mngarɛngarɛ/