Ufafanuzi wa mnung’uniko katika Kiswahili

mnung’uniko

nominoPlural minung’uniko

  • 1

    hali ya kunung’unika; masikitiko.

Matamshi

mnung’uniko

/mnuŋunikɔ/