Ufafanuzi wa mnuno katika Kiswahili

mnuno

nominoPlural minuno

  • 1

    hali ya kukasirika; hali ya kununa.

Matamshi

mnuno

/mnunɔ/