Ufafanuzi wa mnunuaji katika Kiswahili

mnunuaji

nominoPlural wanunuaji

  • 1

    mtu anayenunua vitu mara mojamoja.

Matamshi

mnunuaji

/mnunuwaʄi/