Ufafanuzi wa mnyenyekevu katika Kiswahili

mnyenyekevu

nominoPlural wanyenyekevu

  • 1

    mtu mwenye tabia ya utiifu; mtu mwenye kufuata maelekezo anayopewa.

Matamshi

mnyenyekevu

/mɲɛɲɛkɛvu/