Ufafanuzi wa mnyeo katika Kiswahili

mnyeo

nominoPlural minyeo

  • 1

    hali ya kuhisi kutaka kujikuna k.v. kwenye kidonda kinapoanza kupona.

    mnyegeo

Matamshi

mnyeo

/mɲɛɔ/