Ufafanuzi wa mnyimi katika Kiswahili

mnyimi

nomino

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kutotaka kumpa mtu mwingine kitu; mtu mwenye choyo.

    mchoyo

Matamshi

mnyimi

/mɲimi/