Ufafanuzi wa mnyororo katika Kiswahili

mnyororo

nomino

  • 1

    ukambaa mrefu wa chuma unaoshikamanishwa vikuku vyake kama mkufu.

    silisili, cheni

Matamshi

mnyororo

/mɲɔrɔrɔ/