Ufafanuzi wa mojawapo katika Kiswahili

mojawapo

kielezi

  • 1

    moja kati ya vingi vilivyopo.

    ‘Chagua mojawapo kati ya mawili haya’

Matamshi

mojawapo

/mɔʄawapɔ/