Ufafanuzi msingi wa moma katika Kiswahili

: moma1moma2

moma1

nomino

  • 1

    nyoka mwenye ngozi yenye madoa na sumu kwenye mate yake.

    bafe

Matamshi

moma

/mɔma/

Ufafanuzi msingi wa moma katika Kiswahili

: moma1moma2

moma2

kitenzi sielekezi

  • 1

    enea kila mahali.

    tapakaa

Matamshi

moma

/moma/