Ufafanuzi wa monyoa katika Kiswahili

monyoa

kitenzi elekezi~ka, ~lea, ~leana, ~lewa, ~sha

  • 1

    kula kwa haraka kwa kujaza kinywa tele, hasa kitu laini k.v. embe.

  • 2

    chezesha kiungo cha mwili k.v. kiuno, kwa kujivingirisha.

Matamshi

monyoa

/mɔɲɔa/