Ufafanuzi wa moyo wa bua katika Kiswahili

moyo wa bua

msemo

  • 1

    moyo unaotishika kwa wepesi.

Ufafanuzi wa moyo wa bua katika Kiswahili

moyo wa bua

msemo

  • 1

    moyo usiostahimili vishindo; moyo usio na ushujaa.