Ufafanuzi wa mpapindi katika Kiswahili

mpapindi

nominoPlural mipapindi

  • 1

    mti wa jamii ya mnazi ambao hupandwa bustanini, una matunda madogo mekundu na huweza kusagwa na kuliwa.

Matamshi

mpapindi

/m papindi/