Ufafanuzi wa mpapuro katika Kiswahili

mpapuro

nominoPlural mipapuro

  • 1

    tendo la kurukia na kukwaruza kwa kucha k.v. afanyavyo kuku.

Matamshi

mpapuro

/m papurɔ/