Ufafanuzi wa mpekecho katika Kiswahili

mpekecho

nominoPlural mipekecho

  • 1

    uzungushaji wa kitu k.v. kijiti kwa viganja vya mikono ili kutoa cheche za moto au kuchanganya vitu vya majimaji.

  • 2

    tendo la kuchochea ugomvi.

  • 3

    mwasho wa ndani kwa ndani wa mwili.

Matamshi

mpekecho

/m pɛkɛtʃɔ/