Ufafanuzi wa mpenyezo katika Kiswahili

mpenyezo

nominoPlural mipenyezo

  • 1

    tendo la kupitisha kitu mahali pembamba.

  • 2

    tabia ya kupitisha kitu kwa siri.

Matamshi

mpenyezo

/m pɛɲɛzɔ/