Ufafanuzi wa mpini katika Kiswahili

mpini

nominoPlural mipini

  • 1

    sehemu ya kushikia inayowekwa au kupigiliwa kwenye chombo kingine k.v. jembe, shoka, nyundo au kisu, agh. huwa ni wa mti.

    wano

Matamshi

mpini

/m pini/